AZAM TV KUONYESHA LIVE YANGA IKIPEPETANA NA ETOILE DU SAHEL
Azam
TV itaonyesha moja kwa moja mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Etoile du
Sahel dhidi ya Yanga.
Mechi
hiyo itakayopigwa kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Sousse, itaanza kuonyeshwa
saa 3 usiku, leo.
Tayari Yanga wameanza maandalizi na taarifa zinaeleza muda mchache ujao wataanza safari kwenda uwanjani.
0 comments:
Post a Comment