Ripoti kutoka kaskazini mwa Nigeria zinasema kuwa watu kadhaa wameuawa
na mlipuko wa bomu karibu na mashine ya kutoa pesa ya ATM.
Walioshuhdia
walisema kuwa ,mwanamume mmoja alikaribia watu waliokuwa wamepanga
foleni kwenye mashine hiyo kwenye mji wa Azare ulio katika jimbo la
Bauchi .
Walisema kuwa mwanamme huyo alikuwa amebeba bahasha ambayo baadaye ililipuka.
Siku
ya Jumatano watu wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la Boko Haram
walivamia kiwanda kimoja cha saruji ambapo walichukua baruti wanayotumia
kwenye milipuko.
Rugby Wembly? ahoji Roy Hodgson
Kocha
wa timu ya soka ya England Roy Hodgson amehoji uamuzi wa chama cha soka
nchini humo FA kuruhusu mechi ya mchezo wa Rugby kuchezwa kwenye
uwanja wa …Read More
0 comments:
Post a Comment