Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Friday, November 7, 2014

Rugby Wembly? ahoji Roy Hodgson

 
 Kocha wa timu ya soka ya England Roy Hodgson amehoji uamuzi wa chama cha soka nchini humo FA kuruhusu mechi ya mchezo wa Rugby kuchezwa kwenye uwanja wa Wembley siku sita tu kabla ya mpambano wa soka kutafuta tiketi ya fainali za kombe la Ulaya kati ya England na Slovenia

Mchuano wa jumapili hii kati ya Jacksonville Jaguars na Dallas Cowboys ni ya tatu kupigwa uwanjani hapo katika mwaka huu..

Hodgson anlalamika kuwa mchezo wa rubgy unaharibu uwanja na hivyo kuna uwezekano wa kupoteza ladha halisi ya mchezo wa kabumbu…

Bodi ya FA iliweka vikwazo kwa uhusiano wa chama cha rugby na uwanja huo, hata hivyo makubaliano yao yameingia mwaka wa nane sasa na zimesalia mechi zingine tatu za mwaka wa 2015. Ikiwemo ile ya Oktoba 4 siku tano tu kabla ya mechi ya mwisho ya nyumbani ya kufuzu kati ya England na Estonia

Related Posts:

0 comments: