Picha ya uchi ya Mama mtoto wa Chriss browni imeendelea kuwa gumzo mitandaoni baada ya picha hiyo kuachiwa
Picha picha ambayo inamuonyesha binti huyo aliye zaa na chriss brown mtoto mwenye Miezi 9 anayefahamika kwa jina la NIA ambaye ni mwanamitindo akiwa kama aliyozaliwa
Hata hivyo Binti huyo alishawahi kuwa na ukaribu na dem wa sasa wa staa huyo anayefahamika kama Karrueche hali iliyopelekea mtafaruku mkubwa baada ya picha hiyo kumtaja kuwa huyo ndiye aliyezaa na Chriss brown
hali hiyo imepelekea Chriss brown kupigwa chini kwa mara nyingine na dem wake huyo baada ya kujua kuhusu kuwa na mtoto huyo mwenye miezi tisa
0 comments:
Post a Comment