Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose
aliyefika ofisini kwake leo kwa mazungumzo.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa
akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose
ofisini kwake,jijini Dar es salaam leo.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akiagana
na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao.
0 comments:
Post a Comment