Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Friday, August 21, 2015

JE UNAJUA WINE YA BEI GHALI KULIKO ZOTE DUNIANI?_ICHEKI HAPA INAUZA MILIONI 46 ZA TZ

Watu wanapenda bata na bata mara nyingi huhitaji fedha ndefu

Bata zipo za aina nyingi ila pia pombe hususani zile za gharama ndo bata lenyewe

Kwa upande mwingine unapokuja kwenye pombe za kistaarabu Wine huwa zinanafasi kubwa

Hapa nchini kuna wine zilizozoeleka ambazo hata ukinywa unaonekana mstaarabu mfano dompo,st anna nakadhalika,hizi bei yake si kali sana kuanzia elfu kumi unapata.

Ila hapa nchini kuna wanaokunywa hadi wine za laki moja.

Katika dunia hii kuna wine za gharama ambazo kwa wanaoishi maisha ya kawaida ambayo wao wanaona ni luxury endapo watatajiwa bei hii wanaweza kuanguka kwa pressure

Hii ndio wine ya ghali zaidi dunia inaitwa  Henri Jayer Richebourg Grand Cru, Cote de Nuits, ya ufaransa ambapo kwa bei ya Tanzania  ni zaidi ya shilingi  MILION 46,675,580 KWA CHUPA MOJA

Hapa kwa mbongo unajenga nyumba na gari kadhaa,ILA mwenzako anakunywa kwa mlo mmoja


0 comments: