Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Monday, July 13, 2015

HAWA NDIO WANYAMA WENYE UZITO MKUBWA KABISA DUNIANI WANAOTEMBEA ARDHINI_HIZI NI KILO ZAO

1. TEMBO WA AFRICA(African Elephant)
Uzito wa wastani hadi kilo 8500
Uzito wa juu hadi kilo 13000
wastani wa urefu futi: 21.85

heaviest land animals African Elephant


2.Tembo wa Asia( Asian Elephant)
Uzito wa wastani hadi kilo 4200
Uzito wa juu hadi kilo 5200
wastani wa Urefu futi : 19.5

Asian Elephant Heaviest Land Animals
3. Kifaru mweupe(White Rhinoceros)
Uzito wa wasatani hadi kilo 2350
Uzito wa juu hadi kilo3850
urefu hadi wa futi: 12.5

White-Rhinoceros Heaviest Land Animals
4. kiboko(Hippopotamus)
Uzito wa wastani hadi kilo2500
uzito wa juu wa hadi kilo 3400
urefu wa futi : 11

Hippopotamus
5. Gaur
Uzito wa wastani hadi kilo1600
Uzito wa wa juu : bado haijajulikana
urefu hadi futi: 9.8

Gaur
6. Twiga(Giraffe)
Uzito wa wastani hadi kilo1400
Uzito wa juu  hadi kilo 2100
urefu futi : 15.4

Giraffe
7. Walrus
Uzito wa wastani hadi kilo1200
Uzito wa juu hadi kilo 2150
urefu wa futi: 11

walrus
8. Kifaru mweusi(Black Rhinoceros)
Uzito wa wastani hadi kilo1150
Uzito wa juu  hadi kilo1900
urefu futi: 11.25

Black Rhinoceros
9. MAMBA WA MAJI CHUMVI(Saltwater crocodile)
Uzito wa wastani hadi kilo785
Uzito wa juu hadi kilo1600
urefu wa futi: 20

Saltwater Crocodile
10. MBOGO wa ASIA(Wild Asian Water buffalo)
Uzito wa wastani hadi kilo770
Uzito wa wastani hadi kilo1250
UREFU WA FUTI : 11.4

Wild water buffalo

0 comments: