MZEE OJWANG WA VITIMBI AFARIKI DUNIA JIJINI NAIROBI
Mwigizaji
maarufu kutoka nchini Kenya Mzee Ojwang amefaiki jana jumapili jioni
katika hospitali ya Kenyatta jijini Nairobi alikokuwa amelazwa ,
Mwigizaji Benson Wanjau alias Mzee Ojwang . Mzee Ojwang alikuwa
amelazwa hospitalini hapo akisumbuliwa na ugonjwa wa Pneumonia.
Ojwang
alikuwa mwigizaji wa vipindi maarufu vya Vitimbi, Vioja Mahakami,
Vituko na Kinyonga katika vituo vya luninga vya Kenya na ITV
nchini Tanzania
Alijipatia
umaarufu nchini Kenya pamoja na maeneo yote ya nchi za Afrika Mashariki
kutokana na uwezo wake katika kuigiza ambapo alikuwa akiwavunja mbavu
watazamaji wake kutokana na vituko vyake na uwezo wake katika kuchekesha
watazamaji wakati akiigiza, Mungu iweke mahali pema peponi roho ya
Mwigizaji Marehemu Benson Wanjau alias Mzee Ojwang kwa.
0 comments:
Post a Comment