Stori: Gladness Mallya/ijumaawikienda
MSANII wa vichekesho Bongo, Rashidi Mwinshehe ‘Kingwendu’ amefunguka kwamba japokuwa alipata maumivu ya moyo baada ya jirani yake kumbaka mkewe, Mama Maua ameamua kumsamehe.
Akipiga stori na gazeti hili, Kingwendu alisema mara nyingi mkewe alikuwa kimwambia kuhusu jirani huyo kumtongoza lakini akawa anamkatalia lakini siku hiyo alimvizia na kutimiza azma yake ambapo baada ya hapo alikimbia mpaka leo hajarudi ila amemsamehe kwa kuwa hata Mungu anasamehe mara nyingi.
0 comments:
Post a Comment