Ray akiwa na Chuchu Hans |
Hapa Ray akiwa kushoto mwa Chuchu Hans |
Nani anasema Ray anataka kumwagana na Chuchu Hans? Mastaa hawa Bongo Movie ndo kwanza penzi linachanganya.
Ray
na Chuchu Jumamosi iliyopita walijimwaga ndano ya Salender Bridge Club
na kushuhudia kimahaba onyesho la The Kilimanjaro Band “Wana Njenje”.
0 comments:
Post a Comment