Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Tuesday, January 13, 2015

NI RONALDO TENA_ACHUKUA TUZO YA FIFA_MESSI TUPA KULEE

 
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameibuka mshindi katika tuzo ya FIFA kama mwanasoka bora duniani mwaka huu Ikiwa ni kwa mara ya pili mfululizo.
Mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo akiwa na tuzo ya Ballon d'Or baada ya kutangazwa na FIFA kuwa Mwanasoka Bora wa mwaka 2014.
Rais wa FIFA, Sepp Blatter (kulia)akimpongeza Ronaldo baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo hiyo.…
Tuzo hii iliwajumuisha wachezaji wa soka watatu ambao Lionel Messi, Manuel Neuer na Ronaldo ambaye ameibuka mshindi.
Na mfungaji goli zuri la mwaka tuzo hiyo imechukuliwa na mwanasoka kutoka nchini Colombia James Rodriguez ambapo goli hilo lililovunja rekodi ni lile alilofunga Colombia dhidi ya Uruguay mwaka 2014 katika kombe la dunia.

0 comments: