Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Tuesday, January 13, 2015

DIDA NA EZDEN_DOLE TUPU

Unaambiwa Ndugu Ama wapenzi wawili wagombanapo Shika Jembe Ukalime...Usiingilie na kujifanya wajua sana itakutokea puani na kuonekana mchonganishi.

Dida na Edzen Mpaka wakaachana  kwa Vijembe na Meneno mengi mtandaoni..Unaambiwa Kwa sasa wawili Hao Mambo safi wameshapata ugomvi umeisha na mamba ni kama dhamani ng'are ng'are , Wenyewe wanawasiliana kama kawa na kusaidiana katika vitu vidogo vidogo japo kila mmoja alichukua hamsini zake..Tujifunze kwa hawa watu si lazima mnuniane na kuchuniana mkiachana kimapenzi , mnaweza kuwa marafiki kama kawaida..
Urafiki wao kwa sasa umejidhihirisha baada ya Dida kuingia mtandaoni na kuandika haya hapa chini




0 comments: