Kocha Jose Mourinho wa Chelsea ndiye kocha anaingiza fedha nyingi zaidi duniani.
Mourinho
ameweza kuingiza hadi kitita cha pauni milioni 13.2 kwa mwaka huku
akifuatiwa na Carlo Ancelotti wa Real Madrid aliyeingiza pauni milioni
11.
10 BORA YA MAKOCHA WENYE UTAJIRI MKUBWA
1. Jose Mourinho £13.2m
1. Jose Mourinho £13.2m
2. Carlo Ancelotti £11.4m
3. Pep Guardiola £11.2m
4. Arsene Wenger £8.3m
5. Louis van Gaal £7.3m
6. Fabio Capello £6.6m
7. Andre Villas-Boas £6.2m
8. Sven-Goran Eriksson £5.9m
9. Jurgen Klopp £5.3m
10. David Moyes na Laurent Blanc £5.1m
Source: France Football Rich List
0 comments:
Post a Comment