Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Sunday, November 9, 2014

J.LO azungumzia mahusiano ya mume wake wa zaman na dem wake mpya mwanamitindo


Jennifer Lopez ametoa maoni yake juu ya Mume wake wa zamani Marc Anthony kumchumbia mwanamitindo Shannon De Lima 
Mwanamama huyo wa watoto wawili amesema hana tatizo kwa mume wake wa zaman kuwa na demu mwingine na anamuombea mema
Jlo na Marc enzi zao

  "Ninafuraha kwa ajili yake," Jennifer aliliambia  New York Daily News"na kuongeza kuwa yeye yupo single kwa sasa ila haitakuwa milele kwani ipo siku ataokea mwanaume mwema wa kumuoa."
MARC NA dem wake mpya SHANNON
Ikumbukwe  kuwa  Marc Anthony alisubiria sana tangu akutane na jennifer lopez miaka ya 90..ambapo Lopez alimtaliki mume wake wa kwanza  Ojani Noa mwaka  1998, akamuoa dansa wake Cris Judd mwaka  2001, pia akawa na mahusiano yaliyo make headline na  P. Diddy, pia alichumbiwa na  Ben Affleck mwaka  2002 kabla ya kuamua kutulia na marc Anthony ambapo walifanikiwa kupata watoto mapacha Max na Emme mwaka  2008, ila wakatangaza kuachana mwaka  2011.



0 comments: