Rais Mteule wa Marekani Donald Trump
anazidi kushika kasi kwenye vyombo vya habari akijiaandaa kuingia Ikulu ya
White House. Mbali na nafasi aliyoipata mfanyabiashara huyo tajiri,
tunafahamu kuwa Trump anamiliki ndege yake binafsi ambayo ndiyo anayoitumia kwenye safari zake kama usafiri wake binafsi.
Ndege hiyo aina ya Boeing 757 imetajwa kuwa na thamani ya £63m ambazo ni zaidi ya shilingi billioni 147 za kitanzania, ina uwezo wa kubeba abiria 239, ndani yake kuna Sinki la kunawia ambalo limetengenezwa kwa Gold pia seat zake ni sofa zenye urembo wa Gold.
0 comments:
Post a Comment