Watu wawili ambao wanashilikilia rekodi ya mtu mrefu zaidi duniani na
mtu mfupi zaidi duniani walikutana kwa mara ya kwanza kwenye maadhimisho
ya ‘Guinness World...Record Day’ huko London, Uingereza Nov.13.Mtu mwenye urefu zaidi duniani anaitwa Sultan Kösen kutoka uturuki ana urefu wa futi 8, huku
mtu mfupi zaidi aitwaye Chandra Dangi kutoka Nepal ana urefu wa inchi
21.5.
0 comments:
Post a Comment