Watangazaji wa kipindi cha 106 & Park Bow Wow na Keshia Chanté |
Bow Wow na Keshia Chanté watafanya show ya mwisho, December 19, imetangazwa jana.
Kipindi hicho kilianzishwa mwaka 2000 na watangazaji Free na AJ na mwaka 2006 Terrence J na Rocsi Diaz walikishika.
Hata hivyo mwaka 2015 kipindi hicho kinatarajiwa kupelekwa digital zaidi na kitakuwa kikionekana kupitia BET.com na kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii.
0 comments:
Post a Comment