Mazishi ya msanii Geez Mabovu ambaye
alikuwa maarufu kwenye muziki wa Hiphop Tanzania, yamefanyika leo
nyumbani kwao Iringa katika makaburi ya Mlolo.
Mabovu amefariki dunia kwenye hospitali
alikokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita
kutokea Dar es salaam akisumbuliwa na maradhi ya kifua.
Ndugu, jamaa marafiki, wasanii na watu mbalimbali wamejitokeza kushiriki katika mazishi hayo.
Hizi ni baadhi ya picha za mazishi ya msanii huyo.
0 comments:
Post a Comment