Ghana wanaendelea kuongoza kwa goli mbili goli lilifungwa na kwesi dakika ya 43 dhidi ya Guinea na sasa ni mapumnziko dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeshamalizika indelea kuwa nami hii ni live kutoka uwanjani
HAWA NDIO WAPENZI WAFUPI ZAIDI DUNIANI
Couple hii ni kutoka nchini Brazil ya Paulo Gabriel da Silva Barros miaka 30 na mchumba wake Katyucia Hoshino miaka 26
ambao wameingia katika kitabu cha kuvunja r…Read More
MUGABE KUISHI MILELE - WANASAYANSI
Wanasayansi wanaoheshimika sana
katika Taasisi moja ya Sayansi Huko Uingereza wametoa taarifa ya utafiti
ikithibitisha kwamba Rais wa Zimbabwe Komrade Robert Mugabe
amegundu…Read More
0 comments:
Post a Comment