Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Thursday, November 10, 2016

MTV Base wamethibitisha kuwa Ally Kiba ndio mshindi wa tuzo ya Best African Act baada ya kupewa wizkid kimakosa

Tuzo za MTV Europe Music 2016 zilifanyika weekend iliyopita ambapo Mnigeria staa wa single ya Baba Nla Wizkid alitangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya BEST AFRICAN ACT tofauti na ilivyokuwa ikionesha kwenye kura za mtandaoni kuwa Alikiba ndiye mshindi. Mjadalia mkali ulianza mitandaoni kuhusu mshindi halali wa tuzo ya MTV EMA kwenye category ya BEST AFRICAN ACT, ambapo uliwafikia waandaji wa tuzo hizo. Leo November 10 2016 MTV Base East kupitia akaunti yao ya twitter wametangaza rasmi kuwa tuzo hiyo aliyestahili kuipata ni mtanzania Alikiba na wamempongeza kwa tuzo hiyo .

0 comments: