Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Sunday, November 9, 2014

MISS TANZANIA MPYA LILLIAN AMEAHIDI MAKUBWA BAADA YA KUKABIDHIWA TAJI HILO RASMI



11



Aliyekuwa mshindi wa pili kwenye shindano la Miss Tanzania 2014, Lillian Kamazima amekabidhiwa taji la Miss Tanzania 2014 na kamati ya Miss Tanzania baada ya..SITTI MTEMVU kupigwa chini rasmi
  
Akizungumza na waandishi wa habari leo katika mkutano uliyofanyikia kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Dar es Salaam, Lilian ameahidi kuisadia jamii ya Tanzania.

“Nashukuru kupata nafasi hii, naitwa Lillian Kamazima nina miaka 18, nitatumia nafasi hii kusaidia jamii nikishirikiana na kamati ya Miss Tanzania na pia kuiwakilisha Tanzania katika Miss World,” alisema Lilian.
Lilian ni mrembo kutoka Arusha. 

Mfahamu zaidi kwa picha zake hizi.

1


4

10450850_787536647954816_1136016473347063158_n


IMG_4851

IMG_4915

0 comments: