Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Tuesday, June 7, 2011

DAH GIGGS KWA TOTOZ NI MWISHO.....

Mchezaji nyota wa Manchester United, Ryan Giggs amesababisha kuvunjika kwa ndoa ya kaka yake baada ya kugundulika alikuwa akitembea na  mke wa kaka yake kwa jumla ya miaka minane.

RYNA JOSEP GIGGS
Ryan Giggs ameingia kwenye kizaazaa kikubwa baada ya magazeti ya Uingereza kutoboa siri yake kuwa mbali ya kusailiti ndoa yake kwa kutembea na mrembo wa Big Brother, Imogen Thomas alikuwa pia akimla uroda mke wa kaka yake kwa miaka minane sasa.

Imedaiwa kuwa Giggs alikuwa akijivinjari na mke wa kaka yake Rhodri Giggs kwa miaka minane na kuvuja kwa siri hiyo kumepelekea Rohdri kuamua kuivunja ndoa yake na mke wake.

Rhodri mwenye umri wa miaka 34, alisema kuwa amehuzunishwa sana na habari za uhusiano wa kimapenzi kati ya Ryan Giggs na mkewe Natasha mwenye umri wa miaka 28.



Natasha inasemekana ndiye aliyeamua kuvujisha siri ya uhusiano wake na Giggs baada ya habari kuzagaa kwenye vyombo vya habari kuwa Giggs alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mrembo aliyekuwa mshiriki wa Big Brother UK, Imogen Thomas.


NATASHA


RHODRI NA NATASHA


Habari zaidi zimesema kuwa baada ya Natasha kuvihakikishia vyombo vya habari kuwa habari za uhusiano wake na Giggs kuwa ni za kweli, alisafiri pamoja na watoto wake wawili kwenda nje ya nchi.

 
RHODRI GIGGS     

RYAN NA MKEWE STACEY
Stunning ... Big Brother babe Imogen Thomas
IMOGEN THOMAS
Rhodri kwa upande wake amebaki na majonzi nyumbani kwake ambapo inadaiwa kuwa marafiki zake wa karibu wanajaribu kumfariji kwa haya yaliyomkuta.

0 comments: