Mapenzi ya Kajala na Quick Rocka yamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna hata mmoja amewahi kukiri hadharani.
Hata hivyo penzi linaponoga, si rahisi tena kulificha. Ndio maana
Quick ameamua kushare video Instagram inayomuonesha akipeana mabusu ya
haja ya staa huyo wa filamu.
“How I dance HAPO na mama lao……mtoto kapiga 6kichwa mbichi kama mtoto wa shule (Tag her),” ameandika Quick kwenye video hiyo
0 comments:
Post a Comment