Rapa Drake ambaye anafahamika kwa kung’oa watoto wakali kama Rihanna na Serena Williams ameripotiwa kuwa na amahusiano ya kimapenzi na mwanamitindo Hailey Baldwin (19).
Wiki hii Drake alionekana kwenye mitaa ya Los Angeles akiwa ameambatana kwa karibu na mwanamitindo huyo Hailey Baldwin wakiwa kwenye mgahawa wa Ysabel.
0 comments:
Post a Comment