Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Thursday, June 2, 2016

JINSI Msanii Rich Mavoko ajiunga na lebo ya WCB iliyo chini ya Nassib Abdul diamondplatnumz.


Bongo fleva super staa Rich Mavoko ametia wino kwenye mkataba wa lebel wa WCB Wasafi ya Diamond Platnumz Leo June 2 2016.
Rich atakuwa msanii wa wasafi na atatoa nyimbo zake chini ya lebel hio. Diamond alitupa habari hii nzuri kwa kuandika “Wolcome to the Family @richmavoko Let’s take Bongo fleva to the world!”
mavoko wcb

0 comments: