Umesikiliza single ya Belle 9 inayoitwa Vitamini Music aliyomshirikisha Joh Makini, sasa good news ninayokupatia ni kwamba wakali hao wapo locationkatika maandalizi ya video ya track hiyo.
PICHA:CHID BENZ AKIPANDISHWA KIZIMBAN JANA
Jana Chid Benz amepandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza katika mhakama ya hakim mkazi kisutu Dar es salaam akistakiwa kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya ijumaa iliyopita …Read More
0 comments:
Post a Comment