Jana Chid Benz amepandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza katika mhakama ya hakim mkazi kisutu Dar es salaam akistakiwa kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya ijumaa iliyopita uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius kambarage nyerere
Aidha amerudishwa rumanda hadi november 11 kesi yake itakapoendelea kusomwa tena mwaka huu ambapo atakuwa na nafasi ya kupata dhamani.
CHID akiingia eneo la mahakama |
Hapa akirudi kwenye karandinga |
0 comments:
Post a Comment