EQUATORIAL GUINEA 2 GABON 0
>>Estadio de Bata, Mjini Bata
Gabon, ikiongozwa na Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang, Mchezaji wa Borussia Dortmund, Leo walichapwa Bao 2-0 na Equatorial Guinea Wenyeji wa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2015, na kubwagwa nje wakati Wenyeji hao wakitinga Robo Fainali kutoka Kundi A.
Kwenye Dakika ya 55, Lloyd Palun wa Gabon alimwangusha Javier Balboa ndani ya Boksi na Refa kuamua ni Penati iliyofungwa na Balboa mwenyewe.
Kinda anaechezea Valencia huko Spain, Iban, aliwapa furaha kubwa Wenyeji Equatorial Guinea kwa kuwafungia Bao la Pili katika Dakika ya 87 baada ya Javier Balboa kumpasia Emilio Nsue ambae Shuti lake liliokolewa na kumfikia Iban aliemalizia.
VIKOSI:
Gabon: Ovono Ebang, Obiang, Ecuele Manga, Appinda Ngoye, Palun, Biyogo Poko, Kanga, Madinda, Bulot, Evouna, Aubameyang. Subs: Mfa Mezui, Lengoualama, Mbingui, Oto'o Zue, Ndong, N'Doumbou, Ze Ondo, Sokambi, Rogombe, N'Dong, Bitseki Moto.
Equatorial Guinea: Ovono, Evuy, Sipo Bohale, Rui, Ellong, Zarandona, Balboa, Kike, Randy, Fabiani, Nsue
Akiba: Embela, Engonga, Juvenal, Ruben Belima, Bolado, Iban, Dario, Charly, Ganet, Mosibe.
Refa: Noumandiez Doue (Ivory Coast)
KUNDI A-Msimamo:
[**CHANZO BBC]
CONGO 2 BURKINA FASO 1
>>Nuevo Estadio de Ebebiyín, Mjini Ebebiyin
Congo wametinga Robo Fanali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza tangu 1992 bada ya kuichapa Burkina Faso Bao 2-1 katika Mechi yao ya mwisho ya Kundi A la AFCON 2015 huko Mjini Ebebiyin Nchini Equatorial Guinea.
Congo walikwenda mbele Dakika ya 52 baada ya Ferebory Dore kumlisha Thievy Bifouma ambae alifunga Bao kwa Congo na Burkina Faso kusawazisha Dakika ya 86 kupitia Aristide Bance lakini Dakika 1 baadae Congo wakaenda Bao 2-1 mbele kwa Goli la Fabrice Ondama baada Kipa Germain Sanou kuokoa Mpira kwa ngumi na kumgonga Ondama Begani na kutinga.
VIKOSI:
Congo: Mafoumbi, Bissiki, Bouka-Moutou, Francis N'Ganga, Baudry, Babele, Ndinga, Oniangue, Litsingi, Thievy, Dore. Subs: Massa, Igor N'Ganga, Moubhibo, Ganvoula, N'Guessi, Gandze, Douniama, Malonga Ntsayi, Malonga, Binguila, Mavoungou, Ndzila.
Burkina Faso: Sanou, Yago, Gouo, Koffi, Bakary Kone, Nakoulma, Kabore, Abdou Razak Traore, Djakaridja Kone, Pitroipa, Alain Traore
Akiba: Fofana, Yedan, Rouamba, Koulibaly, Guira, Bambara, Balima, Bance, Zongo, Bertrand Traore, Ouedraogo, Soulama.
Refa: Joseph Lamptey (Ghana)
AFCON 2015
MSIMAMO-Makundi B hadi D:
RATIBA:
**Saa za Bongo
Jumatatu Januari 26
KUNDI B
2100 Congo DR v Tunisia [Estadio de Bata]
2100 Cape Verde Islands v Zambia [Nuevo Estadio de Ebebiyín]
Jumanne Januari 27
KUNDI C
2100 South Africa v Ghana [Estadio de Mongomo]
2100 Senegal v Algeria [Nuevo Estadio de Malabo]
Jumatano Januari 28
KUNDI D
2100 Cameroon v Côte d'Ivoire [Nuevo Estadio de Malabo]
2100 Guinea v Mali [Estadio de Mongomo]
ROBO FAINALI
Jumamosi Januari 31
1900 Congo v Mshindi wa Pili Kundi B [Estadio de Bata]=RF1
2200 Mshindi Kundi B v Equatorial Guinea [Nuevo Estadio de Ebebiyín]=RF2
Jumapili Februari 1
1900 Mshindi Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D [Estadio de Mongomo]=RF3
2200 Mshindi Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C [Nuevo Estadio de Malabo]=RF4
NUSU FAINALI
Jumatano Februari 4
2200 RF 1 v RF4 [Estadio de Bata]=NF1
Alhamisi Februari 5
2200 RF2 v RF3 [Nuevo Estadio de Malabo]=NF2
MSHINDI WA 3
Jumamosi Februari 7
2100 Aliefungwa NF1 v Aliefungwa NF2 [Nuevo Estadio de Malabo]
FAINALI
Jumapili Februari 8
2200 Mshindi NF1 v Mshindi NF2 [Estadio de Bata]
++++++++++++++++++++++++++++
VIWANJA:
-Estadio de Bata, Mjini Bata, Watazamaji 37,500
-Nuevo Estadio de Malabo, Malabo, Watazamaji 15,250
-Estadio de Mongomo, Mongomo, Watazamaji 10,000
-Nuevo Estadio de Ebebiyín, Ebebiyin, Watazamaji 5,000
++++++++++++++++++++++++++++
0 comments:
Post a Comment