Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Monday, March 16, 2015

HUYU NDIYE MSANII MWENYE MAKALIO BOMBA AFRIKA MASHARIKI NZIMA__MWENYEWE ASHINDWA KUAMINI USHINDI WAKE HUO

Imelda Mtema
MODO maarufu Bongo, Agness Gerad ‘Masogange’ ameshtushwa na ushindi wa makalio yake baada ya kutojua kama ametajwa kuwa ni mwanamke mwenye makalio mazuri Afrika Mashariki.
Modo maarufu Bongo, Agness Gerad ‘Masogange’.
Masogange alishinda nafasi hiyo kupitia utafiti uliofanywa na mtandao wa Media Take Out ambapo kwa kutumia vigezo vyao, walimwanika Masogange kuwa ndiye mwanamke pekee mwenye makalio bomba wakidai amejengeka vizuri zaidi.
“Daah! Mimi mwenyewe nilikuwa sijui, nashukuru kama wao wameona mimi ndiyo mwenye kiungo hicho muhimu cha kuvutia na bora kwa wanawake wengine wote,” alisema Masogange ambaye kwa sasa amehamishia makazi yake nchini Afrika Kusini.  

0 comments: