Robin Thicke inaonyesha ametupilia mbali mpango wake wa kumrudia mke wake wa zaman Paula Patton ... jamaa kaonekana huko marekani akiingia katika duka la viwalo na kuwanunulia wanawake wanne viwalo bombaaa
Thicke aliingia katika duka moja
linalouza nguo za ndani kwa watu maaruufu
– na inasemekana jamaa alitupa kiasi cha dola za kimarekani $2,800 zaidi ya
milioni tatu kwa ajili ya vinguo hivyo peke yake
Kama unavyofaham Thicke aliingia
katika kampeni inayoitwa kampeni ya
kumrejesha PAULA PATTON katika maisha yake baada ya mwanamke huyo kuenda kwa
mwanaume mwingine kutokana na jamaa kuwa mzinzi ila sasa inaonyesha kuwa mzuka
wa kumrejesha unapungua
IKUMBUKE KUWA TAYARI mwanamke huyo keshadai talaka
0 comments:
Post a Comment