Taarifa zilizotufikia muda huu ambazo
Hazijathibitishwa Rasmi zinasema kwamba Basi la Dar Express lenye namba
za usajili T 244 BXQ limekamatwa na Gunia zaidi ya 16 za Mirungi katika
kituo cha ukaguzi cha Chekeri Korogwe Likitokea Arusha Basi Hilo
lilikamatwa Jana Majira ya Saa nane Mchana na kupelekwa mpaka katika
kituo cha wilaya cha Polisi Korogwe, mtu mmoja anashikiliwa na Jeshi la
Polisi kwa kuhisiwa anahusika na tukio hilo pia Konda wa Basi hilo
anashikiriwa na Polisi.
Basi la Dar Express likiwa limesimamishwa kwa ajili ya Ukaguzi huoUkaguzi wa Basi hilo ukiwa unaendelea
Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa wanapakia Magunia ya Mirungi katika Gari lao
CHANZO:various blogs
0 comments:
Post a Comment