Ni mwanamuziki mwenye sauti Tamu ANAWAKILISHA IRINGA__ila yupo dsm kwa sasa__pia yupo katika bend ya ya kalunde band baada ya kutamba na ngoma kama si kosa lake na nyingine nyingi sasa jamaa aja na ngoma inaitwa MALI YAKO_siku ya jumanne wiki ijayo WATCH OUT___italetwa hapa katika KALI ZA DJ YEYO
CHECK me!!!!
Sunday, January 11, 2015
NEW RELEASE:MR RED JAMAA ANAKUJA NA NGOMA MPYA JUMANNE WEEK IJAYO TAREHE 13 JANUARY
Author: AMMY YEYOO
10:56:00 AM
Ni mwanamuziki mwenye sauti Tamu ANAWAKILISHA IRINGA__ila yupo dsm kwa sasa__pia yupo katika bend ya ya kalunde band baada ya kutamba na ngoma kama si kosa lake na nyingine nyingi sasa jamaa aja na ngoma inaitwa MALI YAKO_siku ya jumanne wiki ijayo WATCH OUT___italetwa hapa katika KALI ZA DJ YEYO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment