Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Sunday, February 15, 2015

KLABU AFRIKA: AZAM FC YAGAWA KIPIGO KWA EL MERREIKH.

CAF-LOGO-SAFIMABINGWA wa Tanzania Bara, Azam FC, Leo wameanza vyema kampeni yao katika Mashindano ya CAF CHAMPIONZ LiGI walipoichapa El Merreikh ya Sudan Bao 2-0 katika Mechi ya Raundi ya Awali iliyochezwa Azam Complex, Chamazi ambavyo ni Viunga vya Jiji la Dar es Salaam.
Azam FC wamefuata nyayo za Yanga ambao hapo Jana kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam waliichapa Klabu ya Botswana BDF XI Bao 2-0 katika Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Awali ya Mashindano ya CAF ya Kombe la Shirikisho.

0 comments: