VANESA MDEE AKIWA NA JUX huko visiwani zanzibar wakila bata
Mbali nakucheza kiuhalisia katika video ya SISIKII_JUX na VANESA _NA MWANZO,kuonekana katika picha mbalimbali zilizoonyesha kuwa wanapendana__ila baadae kujulikana ni picha za video mpya ya JuX_SISIKII_Sasa imefahamika kuwa sio utani tena bali hawa wawili wako deeep in lov__picha hiyo hapo juu wanafanya yao cheki video hapo chini
Msafiri Diouf Arejea kwa Kishindo Twanga
RAPA maarufu wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Msafiri Said
‘Msafiri Diouf’ hatimaye amerejea ndani ya bendi hiyo baada ya siku
chache kutimkia nchini Uingerez…Read More
0 comments:
Post a Comment