Chris Brown INAONYESHA atakuwa bize sana hadi mwakani huku muziki kwake
akiufanya kwa kiasi kidogo AU hatafanya kabisa ila zaidi atakuwa akipiga mzigo kutokana na maagizo ya
mahakama
Chris jana alitokea mahakamani katika muendelezo wa kesi inayomkabili dhidi ya kumpiga Rihanna na mahakama kumpa maagizo kuwa anapaswa kupiga kazi za kijamii kwa siku nne kwa wiki hadi mwakani
Na kutokana na kazi alizopangiwa
mara nne kwa wiki sasa Chris atamaliza mzigo huo mwakani mwezi January
Ukizingatia kazi za kijamii marekani huanza asubuhi na kumalizika saa nane
mchana hii inamaanisha kuwa chriss brown hatakuwa na muda wa kufanya muziki kwa
kuwa hiyo ni kazi toshaa
Jaji wa
kesi ya Chriss brown anamtuhumu jamaa kwa kuvunja utaratibu wa kifungo chake
cha nje yaani (probation) kwa kuendesha gari kwa mwendo kasi
0 comments:
Post a Comment