Papa Francis ambaye ni kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, |
Kiongozi wa Kanisa katoliki duniani amelalamikia mawazo ya nchi za magharibi kuhusu kudhibiti uzazi na haki za wapenzi wa jinsia moja kuwa yamezidi kushinikizwa katika familia za nchi zinazoendelea.
Wakati wa ziara yake, Papa Francis ametetea utamaduni wa mafundisho ya kanisa katoliki unaopinga matumizi ya dawa za uzazi wa mpango.
Wakati wa ziara yake nchini Ufilipino, inakadiriwa kuwa watu milioni sita walihudhuria ibada iliyoendeshwa na kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani, katika mji mkuu wa nchi hiyo, Manila.
0 comments:
Post a Comment