Mwimbaji wa hit single ya ‘basi nenda‘ ambaye sasa hivi anapata airtime kubwa ya Radio kupitia single ya ‘skendo‘ Mo Music,
anasema mwaka 2015 kwake umemalizika na huzuni baada ya kushtakiwa
Mahakamani kwa kisa kilichoanzia kwa Mwanamke, kesi yake imetajwa December 21 2015.
Alikua ni mpenzi wake wa zamani, toka wameachana ni zaidi ya miezi
nane imepita na Mwanamke huyo alikwenda kwa Mwanaume mwingine na
kuchukua mamilioni ya pesa alafu mwishoni Mo Music amekuja kutajwa
kuhusika na upoteaji wa hizo pesa.
SOURCE:milard ayo
0 comments:
Post a Comment