Hivi karibuni kumekua na tetesi kibao zinazo muhusu Chibu a.k.a Diamond
Platinumz kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwana dada 'Zari The boss
lady' wa Uganda,wawili hao hawakuficha hisia zao za malavi davi kwa
watu huku wakioneka sehemu tofauti tofauti,Platinumz ameamua kuthibitisha kwenye social network
Kupitia mtandao wa instagram Diamond alipost picha anayo onyesha picha ya ultrasound yenye kuonyesha kiumbe tumboni na kuandika
"i cant wait to have you on my hand"
Kama habari hii ni kweli basi habari zilizosambaa kuwa diamond anamatatizo na hawezi pata mtoto zilizosambazwa na mademu zake wa zamani ni uzishi?NA kwamba DIAMOND ALIWALAUMU WASICHANA ZAKE WA ZAMANI KUWA HAWAKUTAKA KUMZALIA MTOTO__soma habari hiyo SOMA HAPA
0 comments:
Post a Comment