Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Thursday, January 15, 2015

AUNT EZEKIEL NI MWONGO?_ASEMA HANA MIMBA WAKATI ANATUMBO KUBWAAA_ASEMA YEYE NA DANSA WA DIAMOND SI WAPENZI ILA HII PICHA MMMMH

MCHEZAJI muvi Aunty Ezekiel asema yeye sio mjamzito.
 
JANA, kwenye XXL ya Clouds FM Soudy Brown amepiga story na muigizaji HUYO  Aunty Ezekiel kuhusiana taarifa kwamba ni mjamzito na ameonekana akinywa pombe, Na mwigizaji huyo kupinga suala hilo kinomanoma
 

Kitaalamu ni kwamba mama mjamzito ambaye anakunywa pombe anatengeneza mazingiza ya pombe kusafiri kutoka kwake kwenda kwa mtoto na kujitunza kwenye sehemu za ubongo kitendo kinachosababisha mtoto kuzaliwa akiwa na matatizo  kama mtindio wa Ubongo, Kuzubaa au matatizo ya macho. 
 KWA UPANDE MWINGINE

Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amedhihirisha penzi lake na dansa wa msanii Diamond Platinumz,Mose Iyobo baada ya picha yao wakiwa wamekaa kimahaba iliyosambaa mtandaoni.

Mara kadhaa msanii huyo wa Bongo Movie amekuwa akikana kuwa hana uhusiano na dansa huyo na kutoweka wazi mhusika wa ujauzito wake hivyo picha hiyo imeonyesha kuwa Mose Iyobo kuwa ni mhusika wa ujauzito huo.


0 comments: