Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Tuesday, October 28, 2014

QPR YAICHAPA ASTON VILLA 2_0

QPR na Aston Villa katika vita vikali. QPR imeifunga Aston Villa

Ligi kuu ya soka ya England iliendelea tena usiku wa kuamkia jumanne kwa mchezo mmoja tu kuchezwaQPR ndio walikuwa wenyeji kuwaalika Aston Villa katika dimba la Loftus Road ambapo wenyeji QPR walifanikiwa kuifurusha kama si kuisasambua Aston Villa kwa jumla ya mabao 2 kwa mshangao.

Matokeo hayo yameisaidia timu hiyo kupanda nafasi moja juu kutoka mkiani kwakuwa na point 7 kibindoni huku Burnley ikiendelea kuburuza mkia katika msimamo wa ligi hiyo.

Chelsea ndio vinara wa ligi hiyo ambao bado wanaendelea kuwa juu kileleni.

Related Posts:

0 comments: