Mtandao wa RadarOnline.com umedai kuwa Kim Kardashian amemzingua mpenzi
wake Chris Brown, Karruache Tran baada ya kumuomba wapige picha kwenye
tukio moja la hivi karibuni.
Karrueche Tran, 26, alimuomba mke huyo wa Kanye West wapige picha ya
pamoja na wapenzi wao kwenye listening party ya album ya Teyana Taylor
huko Hollywood wiki hii. Chanzo kimeuambia mtandao huo kuwa Kim
alikataa.
Hata hivyo baada ya Brown, 25, kumuomba Kanye West, 37, ruhusa ya kupiga picha, rapper huyo alikubali kwa roho moja na hivyo kumfanya Kim asiwe na jinsi zaidi kukubali.
Hata hivyo baada ya Brown, 25, kumuomba Kanye West, 37, ruhusa ya kupiga picha, rapper huyo alikubali kwa roho moja na hivyo kumfanya Kim asiwe na jinsi zaidi kukubali.
0 comments:
Post a Comment