RICK ROSS KABLA HAJAPUNGUA |
BOSS WA MAYBACH MUSIC GROUP RICK ROSS amepungua uzito kiasi cha kilo 45 baada ya kuwa katika program maalum ya kupunguza uzito
RICK NA UMBO JIPYA |
Alikaririwa nyuma akisema kuwa sasa imefika kipindi cha yeye kupunguza uzito japo hakuweza wazi anataka kupungua kiasi gani
0 comments:
Post a Comment