Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Sunday, June 21, 2015

CHRIS BROWN AANDAA SHEREHE YA SIKU YA BABA DUNIANI, BINTIYE NDIYE MGENI RASMI




                                Chris Brown akiwa na binti yake Royalty Brown. MWANAMUZIKI wa nchini Marekani, Christopher Maurice "Chris" Brown amejiandalia sherehe maalum kusherehekea Siku ya Baba Duniani ambapo mgeni rasmi atakuwa binti yake Royalty Brown mwenye umri wa mwaka mmoja.

Chris amewaalika marafiki zake wenye watoto kujumuika naye katika sherehe hiyo inayofanyika leo huko Marekani.
Siku ya Baba Duniani katika nchi nyingi huadhimishwa Jumapili ya tatu ya Mwezi Juni kila mwaka.…

Chris Brown akiwa na binti yake Royalty Brown.
MWANAMUZIKI wa nchini Marekani, Christopher Maurice "Chris" Brown amejiandalia sherehe maalum kusherehekea Siku ya Baba Duniani ambapo mgeni rasmi atakuwa binti yake Royalty Brown mwenye umri wa mwaka mmoja.

Chris amewaalika marafiki zake wenye watoto kujumuika naye katika sherehe hiyo inayofanyika leo huko Marekani.
Siku ya Baba Duniani katika nchi nyingi huadhimishwa Jumapili ya tatu ya Mwezi Juni kila mwaka.

Related Posts:

0 comments: