Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Monday, November 10, 2014

PICHA:Macaulay Culkin__HAJAFARIKI

Macaulay Culkin  ama anavyofahamika zaidi kama KEVIN katika movie iliyompa umaarufa sana miaka ya tisini ya....Home Alone,imefahamika kuwa hajafa kweli kama uvumi wa kifo chake ulivyosambazwa katika mitandano mbali mbali jumamosi iliyopita


Tukirudi nyuma ni kwamba PICHA HIYO ya Macaulay ama Kevin ambaye hivi sasa ameathirika sana na madawa ya kulevya ilitupiwa mtandaoni ikionyesha kama jamaa kafariki kitu ambacho jamaa mwenyewe amesema kuwa alikuwa anafanya mzaha.
Tazama picha iliyoleta kizaaa zaa hapo chini
1109-macaulay-culkin-passed-out-INSTAGRAM-01


0 comments: