Rapper JA RULE ambaye hivi karibuni anatarajiwa kuanza maisha ya jela amesema kuwa hana bifu lolote na 50 CENT.
Jah Rule |
Ja Rule na 50 Cent waziwazi wamekuwa na bifu na bifu hiyo kupelekea wawili hao kupondana katika mtandao wa twitter.
Ja Rule an Fif. |
Hata hivyo Ja Rule amesema hana tena bifu na mkuu huyo wa G-Unit.
KAMA unakumbuka mwezi wa saba mwaka 2007, Ja Rule alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya na silaha wakiwa na Lil Wayne.
December 13, 2010, Ja Rule alipatikana na hatia ya kupatikana na madawa ya kulevya na silaha kinyume cha sheria na kupewa hukumu ya miaka miwili jela
March 8, 2011 Ja Rule alikubali hukumu hiyo na kuomba kuwa aanze kifungo hicho June 8 mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment