DMX |
Kama unataka kujua rapper DMX yupo wapi sasa hivi,ni kwamba jamaa yupo jela akitumikia kifungo cha mwaka mmoja kwa kwenda kinyume na probation iliyokuwa inamnyima kutumia madawa ya kulevya.
Rapper huyo mgumu ambaye jina lake halisi ni Earl Simmons, atakuwa kitaa mwishoni mwa majira ya kiangazi,mwaka huu.
DMX |
Dark Man X (dmx) ataachiliwa July 01 chini ya uangalizi wa wanausalama ambao utamalizika August 25.
X alitinga jela December 16,mwaka jana,baada ya kukiuka masharti ya probation.
-----------
0 comments:
Post a Comment