ILI anza kama tukio la kawaida kwenye ndege kupiga pamoja Selfie kama wanafurahia kukutana pamoja kwa mwanamuziki mkali Tanzania na tajiri pia DIAMOND platnum na mwanamuziki tajiri Uganda ZARI ze boss

ILA stori haikuishia hapo kwani wawili hao wameonekana hotelini wakiwa wamekaa mikao ya kimahaba

WANACHODAI ni kwamba wanafanya kazi ya pamoja_ILA UKIMWANGALIA HUYU MDADA alivyo mkali dah
ILA stori haikuishia hapo kwani wawili hao wameonekana hotelini wakiwa wamekaa mikao ya kimahaba
0 comments:
Post a Comment