Jumatatu usiku, (Nov. 3) rapper Mase alikuwa amepanga kutumbuiza jijini London kwenye ukumbi wa O2.
Alikuwa apewe support kutoka kwa wasanii wenzake wa New York, Foxy Brown na Fat Joe.
Bahati mbaya Fat Joe alinyimwa visa ya kuingia Uingereza na Foxy Brown alijitoa katika dakika za mwisho. Kwa mujibu wa ripoti za awali kutoka factmag.com, watu chini ya 50 walihudhuria show hiyo kwenye ukumbi huo wenye uwezo wa kujaza watu 2700+.
0 comments:
Post a Comment