Aubrey 'Drake' Graham, siku ya jana amerusha hela japo si kwa ile wazungu wanasema ‘making it rain’ – ila jamaa alirusha hela hizo kwa hasira wakati akimfuata jamaa aliyekuwapo kwenye club waliyofikia baada ya jamaa kudaiwa kumtwanga mmoja wa member wake
Drake alikuwa ana sherekea birthday yake katika klabu moja inayoitwa Club Stadium kule Washington D.C. kuanzia juzi usiku hadi alfajiri ya jana jumapili
Baada ya kutupa hela hizo ambazo
inasemekana zilikuwa maelfu ya dola na kumfuata jamaa kwa hasira alitulizwa
Ila baadae jamaa kutoka katika crew
yake alifankiwa kuokota baadhi ya fedha zilizorushwaba Drizzy
Ikumbukwe jamaa si mara ya kwanza
kuanzisha mtifuano club kwani mwaka 2012 alitanzisha vagi na crew ya
Chris Brown nightclub moja inaitwa W.I.P
0 comments:
Post a Comment