Obama alikuwa akizungumza na Wisconsin radio station WJMR -- na alijibu hivyo baada ya kuambiwa maoni yake kuhusiana na jordani kumsema obama kuwa ni hovyo sana katika mchezo wa golf alipokuwa akihojiwa na Ahmad Rashad .
Obama amesema yeye na Jordani wanajuana ila hajawahi kucheza Golf na jamaa hivyo asikurupuke kukisemea kiwango chake cha golf
0 comments:
Post a Comment